Habari, naitwa Olivia, mwanamke mwenye miaka 50, ninaishi Malindi, Pwani ya Kenya.
Nimekaa bila kuwa kwenye relationship kwa takribani miaka 15 sasa, na kwa sasa nahisi ni wakati wangu wa kufungua ukurasa mpya wa maisha na kumpa mtu nafasi moyoni mwangu.
Ningependa kukutana na mwanaume mwenye umri wa miaka 30 hadi 40. Mwanaume aliyekomaa kimawazo, mwenye heshima, anayejua kuthamini mwanamke na kuelewa maana ya kuwa kwenye mahusiano yenye upendo, kuelewana na kuheshimiana.
Kuhusu kazi, si lazima uwe umeajiriwa au uwe na kazi rasmi. Kwangu mimi, cha muhimu zaidi ni tabia yako, moyo wako na jinsi unavyomchukulia mwanamke. Ningependa mtu ambaye tunaweza kuelewana, kuzungumza kwa uwazi na kujenga kitu kizuri pamoja.
Ningependelea sana kukutana na mwanaume anayeishi maeneo ya Pwani, iwe Malindi, Mombasa, Kilifi, Watamu au maeneo mengine ya karibu. Itakuwa vizuri tukawa tunaishi karibu ili iwe rahisi kufahamiana zaidi.
Kama unahisi tunaweza kuelewana, usisite kuwasiliana na Admin wa Richmummys.com kwa msaada wa kuunganishwa.
